Vibali Kuingiza Magari ya Mizigo

 Vibali Kuingiza Magari ya Mizigo

Viambatisho vinavyohitajika kwa ajili ya Vibali vya Magari ya Mizigo vinavyotolewa na Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam ni:-

  1. Nakala ya kadi ya gari husika.

Gharama za kuingiza magari ya mizigo kwa maeneo ya katikati ya Jiji ni kama ifuatavyo:-

  1. Magari yenye uzito kuanzia tani 2 hadi tani 3.5 gharama ni Shilingi za Kitanzania 20,000 kwa siku.
  2. Magari yenye uzito kuanzia tani 2 hadi tani 3.5 gharama ni Shilingi za Kitanzania 150,000 kwa mwezi.
  3. Magari yenye uzito kuanzia tani 3.5 hadi tani 10 gharama ni Shilingi za Kitanzania 50,000 kwa siku.
  4. Magari yenye uzito kuanzia tani 10 na kuendelea gharama ni Shilingi za Kitanzania 100,000 kwa siku.

Baada ya kuwasilisha nakala ya kadi ya gari na malipo kukamilika, kibali kitatolewa na Idara ya Ujenzi kupitia ofisi za Maegesho kwa gari husika.

Source: Vibali vya Kuingiza Magari ya Mizigo | Dar es Salaam City Council (dcc.go.tz)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *