VITUO GESI ASILIA KWENYE MAGARI KUJENGWA
Mkurugenzi wa Biashara ya Mafuta na Gesi wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) Dkt. Wellington Hudson amesema jumla ya vituo tisa (9) vya kujaza gesi asilia kwenye magari vinatarajia kujegwa na kukamilika katika kipindi cha miezi 24.Dkt. Hudson…